Nadeliver parcels, bidhaa, chakula na zaidi. Napatikana Marura , Junction , Barabara Kwanza na zaidi. Ninajibu haraka. Piga order ama nipigie simu.
"Nadelivery parcels, bidhaa, documents na zaidi kote Marura. Bei inategemea distance, niambie unatoka wapi unaenda wapi, nitakupigia bei haraka. Ninafanya kazi Monday-Saturday, 7am-8pm."
Nice ride